sw.news

Francis Alitaka Barua Iliyopiga Marufuku Ekaristi Kwa Waprotestanti Kuwa "Siri"

Edward Pentin alidhibitisha ripoti kwamba Shirika la Mafundisho ya Imani limetupilia mbali pendekezo la Maaskofu Wajerumani kuwapa Waprotestanti Ekaristi [ingawaje hili ni jambo la kawaida nchini humo].
Aliyempa Pentin habari hizo aliongeza kuhusu suala hili, hakuna "tofauti" kati ya Askofu Mkuu Ladaria na mtangulizi wake Kadinali Gerhard Müller.
Pentin amegubdua kwamba "Papa anaitaka barua [inayopiga marufuku pendekezo hilo] ibaki kuwa siri kwa sababu zisizojulikana".
Picha: © European Parliament, CC BY-NC-ND, #newsNmaxqrapam

216
sw.cartoon

Sinodi La Amazon: Bikra Maria Alimwambia Mtakatifu Bridget Kwamba Papa Atakayetupilia Mbali useja, Ataenda Jahanamu.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsDgykwtpshg

124
oarielvillar

Familia Ingalls - T01 - Episodio Piloto Parte 2
Familia Ingalls - Temporada 1 - Episodio Piloto Parte 2

49:53
elfu 47
Videos para ver en Familia ameshirikisha hii

Para ver en familia

+54 2344476927 ameshirikisha hii

Me Encanta este capítulo.

Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!

Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa!
Katika hali ya kutokuwa na uhakika na huzuni, mwangaza wa mwisho wa maisha ya papa mmoja unaashiria uwasili wa haraka wa mwingine – kama alivyokumbuka Mtakatifu Yohani Paulo II katika nyakati zake za mwisho. Papa Bergoglio, ambaye amewekwa chini ya utawala unaoongozwa na kardinali wenye utata – baadhi yao kujitajia “antipapa” (Kardinali Martini) na wengine ambao wamekubali kuwa walikuwa wa kundi linalojulikana kama “mafya takatifu”, yaani Kikundi cha Sankt Gallen (Kardinali Danneels) – amekumbwa na hali mbaya kiasi kwamba uvumi kuhusu uwezekano wa kuaga kwake duniani umeanza kusambaa.
Wakati huo huo, Idara ya Mawasiliano ya Vatikani inaendelea kutoa taarifa zisizo kamili na zilizo na upendeleo. Je, lengo ni lipi? Labda ni kuwafanya waumini wabaki katika hali ya kutokuelewa, kulinda maslahi ya ndani, au tu kuhifadhi uhuru wa kuchukua hatua mbele ya uwezekano wa kuondoka kwa Bergoglio, labda kupitia kukatishwa kwa madarakani au kwa sababu ya …Zaidi

33
HP Y GC

Chapelet au Karmel

25:51
24
sw.news

Sarah: Bado Vatikani Ndiyo Yenye Mamlaka Juu Ya Utafsiri

Licha ya kutolewa kwa Magnum Principium bado Vatikani ndiyo yenye kauli kuu juu ya utafsiri wa kiliturujia.
Kadinali Robert Sarah, Kinara wa Shirika la Uabudu Takatifu, aliandika mnamo tarehe 1 mwezi Oktoba katika L’Homme Nouveau kuwa mabadiliko yote na utafsiri wa maandiko ya kiliturujia yanastahili kuidhinishwa na Vatikani.
Hata hivyo Sara alifutwa kazi rasmi kama Kinara wa Shirika la Uabudu Takatifu na huenda shirika hilo likapuuzwa na mabaraza ya Maaskofu
Picha: Robert Sarah, © Lawrence OP, CC BY-NC-ND, #newsRenohrrsom

112
sw.cartoon

Mzozo Kati Ya Kadinali Parolin Na Makamu Wake Becciu Unaendelea.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsZfhumqtqae

122
oarielvillar

Familia Ingalls - T01C02 Campesinas.
Familia Ingalls - Temporada 1 - C02 Campesinas

48:19
elfu 27
Videos para ver en Familia ameshirikisha hii

Para ver en familia

Guntherus de Thuringia

instagram.com/reel/DW5AYUrjByE/
David Icke

05:02
9
RAFAEL MEDINA MEDINA

Muujiza wa Ekaristi uliotokea wakati wa Misa iliyoadhimishwa na Askofu Claudio Gatti, huko Roma, Italia

Kurasa 6
109
sw.news

Ladha Dhaifu

Kwa sherehe ya Corpus Christikatika Mtakatifu John mjini Lateran, Papa Francis aliwasili Jumapili jioni na msalaba wa feleji. Alipatiwa msalaba huo na wafanyikazi wa kampuni ya felaji ya Ilva iliyo Genova,Italia, ambako Papa Francis atazuru mnamo Juni tarehe 27.
Msalaba huo ni wa urefu wa sentimita 170 na uzito wa kilo 3.5.
#newsFdnplavlkq

72
sw.cartoon

Kamari Ya Francis Ya Kujenga Kanisa Jipya.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsVhcsztlxzg

136
carlos padila

NUEVA MISA CVII - MALACHI

153
Denis Efimov

Así es.

Guntherus de Thuringia

instagram.com/reel/DWvm20SDMsR/
David Icke

02:35
16
sw.news

Francis Alimlazimisha Kadinali Müller Kukatiza Misa

Mwanahabari wa Vatikani Marco Tosatti alitangaza katika jarida la First Things kipindi cha kuaibisha kati ya mwaka wa 2013 kilichomhusisha Papa Francis na Kadinali Ludwig Gerhard Müller.
Kadinali huyo alikuwa akisherehekea misa na kikundi cha wanafunzi wasomi katika kanisa moja lililo karibu na kasri ya Shirika la Mafundisho ya Imani wakati ambapo katibu wake alipomwendea altarini, "Papa anataka kuzungumza nawe." Müller alimjibu, "Je, umemfahamisha kwamba nasherehekea Ibada ya Misa?". "Naam," Katibu alimwambia, "lakini amesema kuwa hajali —hata hivyo angetaka kuzungumza na wewe."
Kadinali huyo alikatiza Misa na kuenda kwake Francis ambaye, ambaye kwa chuki, alimpa masharti kadhaa na ripoti kumhusu mmoja wa rafikize, ambaye ni Kadinali.
Picha: © Mazur, catholicnews.org.uk CC BY-SA, #newsXhaclcjaxm

77
sw.cartoon

Mwadhibu Mmoja Na Atakuwa Funzo Kwa Wengine.
Picha: © gloria.tv, CC BY-ND, #newsVyqznoczct

82
Guntherus de Thuringia

Qu.

05:26
24